Its all about beading, magical bare hand touches, inspiration, and tips on wearing accessories
Showing posts with label
training tips
.
Show all posts
Showing posts with label
training tips
.
Show all posts
Tuesday, November 6, 2012
BEADING CLASSES...TMH msasani..
naamini unaona namna zinavopendeza na kuvutia machoni...
training inafanyika TMH msasani... usikose jipe nafasi ya kujiajiri na kutumia vema muda wako wa ziada....
TMH jewellery and art classroom
Ahadi ni deni... kuwaletea taarifa za hapa na pale kuhusiana na training mbalimbali za kazi za mikono hilo nalo litakuwa jukumu kubwa...
for they say to share is to care
Karibuni woote... darasa lipo msasani karibu na nyumba ya sanaa....
kwa mawasiliano wasiana moja kwa moja na mkurugenzi wa TMH kwa
link hii
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)